Job 34:35-37

35 a‘Ayubu huongea bila maarifa;
maneno yake hayana busara.’
36 bLaiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho,
kwa sababu anajibu kama mtu mwovu!
37Kwenye dhambi yake huongeza uasi;
kwa dharau hupiga makofi miongoni mwetu,
na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”
Copyright information for SwhNEN